Sound Of Death, Tanzania Movies

0

Tajiri mmoja ambaye ni mwanasiasa anatumia nafasi aliyonayo kupata mwanamke yeyote amtamaniye bila kujali kama ni mke wa mtu au lah, lakini hatimaye anapoteza maisha yake na familia yake.